Karibu VFS Global

VFS Global ni kituo pekee kinachotoa huduma kwa Serikali ya Kanada,kilichoidhinishwa kutoa huduma za msaada wa kiutawala kwa waombaji wa viza ndani ya Uganda.

Taarifa muhimu

Taarifa Muhimu

Tafadhali kumbuka kuwa kuanzia sasa, Kituo cha Maombi ya Visa vya Kanada jijini Kampala hakitakubali...

26 Mei 2026

Taarifa Muhimu

Kutokana na matatizo ya kiufundi, huduma ya simu ya VAC jijini Kampala haifanyi kazi kwa sasa. Tafad...

10 Aprili 2026

Taarifa Muhimu

Sasisho Muhimu: Gharama mpya za huduma zitaanza kutumika Jumatano, tarehe 1 Mei 2026. Unashauriwa ua...

30 Machi 2026

biometric Waombaji wengi wanahitajika kutoa alama zao za Bayometriki,lakini IRCC wanaweza kuwa na misamaha fulani au suluhisho la muda mfupi kwa hali maalum

Kituo cha Maombi ya Viza

Unapanga kutembelea Kituo cha Maombi ya viza

Kituo cha Maombi ya Visa ya Kanada

Kololo Mackenzie Vale,

Sehemu ya 41-59,

Kampala, Uganda

Jumatatu mpaka ljumaa : 08:00 - 16:30 jioni

Taarifa kuhusu mchakato wa Maombi

Je, unaomba viza ya matembezi

Hivi ndivyo utakavyohitaji

Kwa viza ya makazi ya muda mfupi ya Kanada, kwa ujumla utahitaji vifuatavyo:

  • Hati halali ya kusafiria , kama vile paspoti

  • Uthibitisho wa fedha zitakazosaidia kukaa kwako Kanada

  • Ratiba za safari ikiwemo na booking ya hoteli na ndege

  • Uthibitisho wa uhusiano na nchi yako kama vile ajira, familia na umiliki wa mali

  • Taarifa nyingine yoyote ya ziada kulingana na hali yako mahususi

Tafadhali tembelea IRCC kwa maelezo zaidi kuhusu Viza za matembezi >>

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Viunganishi muhimu na vyenye msaada