Karibu VFS Global

VFS Global ni kituo pekee kinachotoa huduma kwa Serikali ya Kanada,kilichoidhinishwa kutoa huduma za msaada wa kiutawala kwa waombaji wa viza ndani ya Tanzania. Kituo cha Maombi cha Visa kinaendeshwa na Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) kwa kushirikiana na VFS Global.

Taarifa muhimu

Taarifa Muhimu

Taarifa Muhimu: Gharama mpya za huduma zitaanza kutumika Jumatano, tarehe 1 Mei 2026. Unashauriwa ua...

30 Machi 2026

Taarifa Muhimu

Kwa sababu ya masuala ya usalama na ukomo wa nafasi, ni waombaji tu na mzazi/mlezi mmoja anayeandama...

1 Machi 2024

Taarifa Muhimu

Kufuatia Maagizo ya Kiwaziri yaliyotolewa na Waziri wa Uhamiaji, Wakimbizi na Uraia Kanada mnamo Apr...

1 Aprili 2023

biometric Waombaji wengi wanahitajika kutoa alama zao za Bayometriki,lakini IRCC wanaweza kuwa na misamaha fulani au suluhisho la muda mfupi kwa hali maalum

Kituo cha Maombi ya Viza

Unapanga kutembelea Kituo cha Maombi ya viza

Kituo cha Maombi ya Visa cha Kanada kiliendeshwa kwa ushirikiano na IOM

Acacia Estates, ghorofa ya 3,

84 Barabara ya Kinondoni,

Dar es Salaam, Tanzania

Jumatatu mpaka Ijumaa : 02:30 Asubuhi – 11:00 Jioni

Taarifa kuhusu mchakato wa Maombi

Je, unaomba viza ya matembezi

Hivi ndivyo utakavyohitaji

Kwa viza ya makazi ya muda mfupi ya Kanada, kwa ujumla utahitaji vifuatavyo:

  • Hati halali ya kusafiria , kama vile paspoti

  • Uthibitisho wa fedha zitakazosaidia kukaa kwako Kanada

  • Ratiba za safari ikiwemo na booking ya hoteli na ndege

  • Uthibitisho wa uhusiano na nchi yako kama vile ajira, familia na umiliki wa mali

  • Taarifa nyingine yoyote ya ziada kulingana na hali yako mahususi

Tafadhali tembelea IRCC kwa maelezo zaidi kuhusu Viza za matembezi >>

Maswali yanayoulizwa mara kwa mara

Viunganishi muhimu na vyenye msaada