Taarifa ya uchambuzi wa Wavuti

Taarifa ya uchambuzi wa Wavuti

Hizo zinajulikana kama “Kuki za kiutendaji.” Kuki ni majarada yenye maandishi yanayowekwa kwenye kompyuta kutusaidia kuhesabu idadi ya watu waliotembelea tovuti yetu pamoja na vyanzo vinavyotembelea mtandao wetu na kuboresha utendaji wa tovuti kwa kutujulisha kurasa zipi zinapendwa Zaidi na ni zipi hazipendelewi kutembelewa na kutunesha namna wanaotembelea tovuti yetu wanavyozunguka katika tovuti.

Tunahakikisha kwamba hakuna taarifa binafsi inayokusanywa na hizi kuki na taarifa zote za kiuchambuzi hazina utambulisho

Unaweza kuyakataa matumizi ya kuki kw kuchagua mipangilio inayohusiana na kuki kwenye kvinjari (browser) chako, hata hivyo tambua kwamba kwa ukifanya hivi hautaweza kutumia tovuti yetu kikamilifu na baadhi ya vipengele vingine vya tovuti yetu viaweza vizifanye kazi. Kwa mfano, kama usiporuhusu matumizi ya hizi kuki hatutaweza kufahamu wakati gani ulitembelea tovuti yetu na wala hatutaweza kufuatilia utendaji wake.

Unaweza kutazama na kudhibiti Kuki zilizotumika kupita kituo cha chetu cha mpangilio wa kuki kinachotolewa kila unapotembelea tovuti yetu

Gharama za Huduma kwa huduma inayotolewa katika VAC

Gharama ya huduma (kwa kila muombaji)Kiasi kwa Dola ya Kanada (na kodi)Kiasi kwa Shilingi za Kitanzania (na kodi)

Nakala

$0.26500.00

Uchapaji

$0.521,000.00

Ujumbe Mfupi wa Simu

$3.00 5,600.00