Wasiliana nasi

Wasiliana nasi

Namba ya huduma kwa wateja

Tafadhaliwasiliana nasi kwa taarifa yoyote inayohusiana na mchakato wa viza: Wasiliana nasi kwa simu: Piga kitaifa: +255 689 141 127

Wasiliana nasi kwa Barua pepe: Tuma barua pepe Sasa

Huduma kwa wateja na maoni

VFS Global imejidhatiti kutoa huduma ya hadhi ya juu. Ili kutusaidia kulitimiza hilo, VFS Global inakaribisha na kuthamini maoni toka kwa wateja. Unahakikishiwa kuwa maoni na mirejesho yote inayopokelewa inashughulikiwa kwa umakini na umakini wote.

Pongezi toka kwa wateja

Tunakaribisha mrejesho siku zote. Kama una maoni yoyote kuhusu huduma ulizopokea kutoka kwetu, tafadhali wasiliana nasi. Wasilisha pongezi

Malalamiko ya mteja

Tunayazingatia sana malalamiko na kuyatumia kama nafasi ya kuboresha kampuni yetu na wafanyakazi wetu. Ukitutumia maoni yako, utapokea majibu ya haraka na suluhu ya sononeko lako, kwa kadili ya utaratibu wetu wa kushughulikia malalamiko.

Unaweza kutuma mrejesho wako mtandaoni:

Wasilisha malalamiko yako

Gharama za Huduma kwa huduma inayotolewa katika VAC

Gharama ya huduma (kwa kila muombaji)Kiasi kwa Dola ya Kanada (na kodi)Kiasi kwa Shilingi za Kitanzania (na kodi)

Nakala

$0.26500.00

Uchapaji

$0.521,000.00

Ujumbe Mfupi wa Simu

$3.00 5,600.00