Weka miadi

Chagua kutoka kwa chaguzi mbalimbali ili kupanga miadi yako

Tafadhali bofya hapa kufanya miadi. Kiungo hiki kitakupeleka kwenye ukurasa wa usajili wa miadi ambayo itakuwezesha

  • Panga miadi

  • Ahirisha miadi

  • Futa miadi

Utatakiwa kufuata maelekezo yaliyowekwa kwenye ukurasa ili kutengeneza wasifu wa kuingia na kufanya miadi.

Tafadhali tambua;

  • VFS Globall itakusanya taarifa zako binafsi kwa nia ya kukufanya miadi tuu. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Utatakiwa ujaze kikamilifu fomu ya Ridhaa.

  • Barua ya Miadi itakupa taarifa kuhusu tarehe, muda na mahala pa miadi, pamoja na taarifa nyingine muhimu.

  • Utatakiwa kuwasili kwenye Kituo cha maombi ya viza dakika 15 kabla ya muda wako wa miadi uliopangwa.

Unaweza kubofya hapa kujua kuhusu Kanuni za usalama kwenye Kituo cha Maombi ya viza.

Fahamu kama unahitaji kuweka miadi kabla ya kutembelea

Unataka kufanya nini ofisi za VAC?

Canada-Biometrics1.png

Hujawai kuwasilisha bayometriki?

Fahamu kama unahitaji hapa

Canada-Biometrics2.png

Umewahi kuwasilisha bayometriki zako kabla?

Angalia kama bayometriki zako bado ziko halali. hapa

Canada-Biometrics3.png

Umepokea barua ya kufanya Bayometriki (BIL) na hufahamu wapi pa kwenda?

Angalia kuona VAC iliyo karibu nawe hapa

Kuanzia tarehe 02 Novemba 2019, ni lazima kuweka miadi kwa ajilia ya kufanya bayometriki kwenye Kituo cha Maombi ya Viza za Kanada nchini Tanzania.

Ilikujua kama unahitaji kufanya bayometriki, utatakiwa kutembelea  http://www.cic.gc.ca/english/visit/biometrics.asp.

Ili kuweza kufanya miadi VFSGlobal itatakiwa kuchukua taarifa binafsi kutoka kwa muombaji. Usiweke taarifa nyingine binafsi tofauti na zinazihitajika kwenye mfumo wa miadi mtandaoni kwenye barua pepe, usogozi wa mtandaoni, ujumbe mfupi wa simu (SMS) mawasiliano ya kielektroniki yasiyo na ulinzi. Fomu ya ridhaa kwa hali hii itahitajika kutoka kwa muombaji.

Vigezo vya miadi ya dharura ya biometriki ni kama ifuatavyo: - Kifo cha jamaa wa karibu anayeishi Canada - Mtu mgonjwa wa karibu wa familia anayeishi Canada

Jamaa wa karibu wa familia anafafanuliwa kama

  • mwenza au mpenzi anayefahamika kisheria

  • mtoto tegemezi

  • mtoto tegemezi wa mtoto anayemtegemea

  • Mzazi au mzazi wa kambo

  • mlezi au mkufunzi

Waombaji wanaoomba miadi ya dharura kwa madhumuni ya ukusanyaji wa biometriki lazima watoe uthibitisho wa dharura (yoyote ya yafuatayo) wakati wa kuhudhuria miadi katika Kituo cha Maombi ya Viza. - Cheti cha kifo / matibabu - Barua kutoka kwa Afisa wa Matibabu / Kitengo

- Barua kutoka Nyumba ya Mazishi

Tafadhali kumbuka Kituo cha Maombi ya Viza kitatoa taarifa kwa IRCC juu ya waombaji wote ambao hawatoi uthibitisho unaohitajika wa dharura wakati wa kuhudhuria miadi ya dharura katika Kituo cha Maombi ya Viza. IRCC inaweza kuzingatia hii wakati wa kukagua Maombi. Miadi ya dharura ya biometriki haiathiri muda wa mchakato wa maombi wa IRCC wala matokeo. Tafadhali kumbuka kuwa miadi ya dharura ya biometri haiwezi kupangwa mtandaoni (online). Ili kupanga miadi ya dharura ya biometriki, tafadhali fanya hivyo kwa kupiga simu Kitengo cha Mawasiliano cha Kituo cha maombi ya viza au kwa kutembelea Kituo cha Maombi ya viza kibinafsi.

Gharama za Huduma kwa huduma inayotolewa katika VAC

Gharama ya huduma (kwa kila muombaji)Kiasi kwa Dola ya Kanada (na kodi)Kiasi kwa Shilingi za Kitanzania (na kodi)

Nakala

$0.26500.00

Uchapaji

$0.521,000.00

Ujumbe Mfupi wa Simu

$3.00 5,600.00